Kila mtu ana ndoto ya maisha bora. Lakini ili kuzifikia, tunahitaji kujua tunachofanya — hasa linapokuja suala la pesa zetu na haki zetu.
Blog hii ya Pesa na Sheria ni mahali ambapo tutashirikiana maarifa rahisi lakini yenye nguvu. Tutazungumza kuhusu:
Mikakati rahisi ya kifedha kwa maisha ya kila siku.
Haki za mfanyakazi na mjasiriamali.
Maswali ya kisheria yanayowahusu watu wa kawaida.
Na hata hadithi fupi za maisha zenye mafunzo halisi.
Ikiwa umewahi kuhisi kama sheria ni ngumu au fedha ni fumbo — basi blog hii ni kwa ajili yako.
> Kila wiki tutajifunza kitu kipya.
Karibu, jisikie huru ku-comment au kuuliza maswali.
Asante kwa kuwa hapa!
Tuamke pamoja kwa maarifa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni